Thursday, June 5, 2014

Mwanamuziki JLO akifanya vitu vyake stejini. Kulia akiwa na dansa wake.
...Msanii huyo mbali na miaka 44 aliyonayo lakini aligonga shoo ya nguvu akiwa na kivazi chake kilichoacha baadhi ya maungo yake nje.
STAA wa muziki nchini Marekani, Jennifer Lynn Lopez (44) amedhihirisha kuwa bado wamo baada ya kutinga jukwaani akiwa na 'kivazi tata' na kuangusha bonge la shoo. JLO alitupia kivazi hicho pamoja na suspenda wakati wa shoo aliyoifanya nyumbani kwao huko Bronx, New York nchini Marekani.
JLO akionyesha mbwembwe na dansa wake.
Shoo ikiwa imechanganya ndani ya Bronx, New York nchini Marekani.
Ilikuwa full burudani.

Wednesday, June 4, 2014

Rihanna aliamua kuwapa sinema ya bure wanaume wenye uchu kwa kulishuhudia live umbo lake live bila chenga kwa nguo ya ajabu aliyokuwa ameivaa jana kwenye tuzo za mitindo za CFDA zilizofanyika jijini New York. Jionee mwenyewe kinguo hicho.

Rihanna+Arrivals+CFDA+Fashion+Awards+zL-ChedW_vNl

2014+CFDA+Fashion+Awards+Alternative+View+lDsiyJtNs4Jl

Rihanna

Rihanna+2014+CFDA+Fashion+Awards+Show+N96tvnviCtml

Rihanna+2014+CFDA+Fashion+Awards+Show+nxAP_TLiRHQl

Rihanna+2014+CFDA+Fashion+Awards+Winners+Walk+7D-p9Cs7KU_l

Rihanna+2014+CFDA+Fashion+Awards+Winners+Walk+ASQGNyE4msjl

Rihanna+2014+CFDA+Fashion+Awards+Winners+Walk+L0fgQYLIH5nl

Rihanna+2014+CFDA+Fashion+Awards+Winners+Walk+ntnVBGG1YNtl

Rihanna+2014+CFDA+Fashion+Awards+Winners+Walk+pP2jrz_Oldbl

Rihanna+2014+CFDA+Fashion+Awards+Winners+Walk+s8exwLoPOiFl

Rihanna+2014+CFDA+Fashion+Awards+Winners+Walk+vbUXolA6kYOl

Rihanna+2014+CFDA+Fashion+Awards+Winners+Walk+Ywzs6tW7LGSl

Rihanna+Arrivals+CFDA+Fashion+Awards+0q_KKIXZtB8l

Rihanna+Arrivals+CFDA+Fashion+Awards+agbzcviSdx9l

Rihanna+Arrivals+CFDA+Fashion+Awards+L5150mJwQAnl
Rihanna+Arrivals+CFDA+Fashion+Awards+O_45H8v-vVol

Monday, June 2, 2014

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgd64ZrgoO92PQlf-r3ro82Fj-d-JzqDiMEE637TvG70oraDERNmFZap-fQnSJOB3RPdKd1AgNtknLiDOnR-bXYYhzITP7vESrs25E9T0FAZ-1yAkpCPrYD-MvEJzfgn7-p1yV5NbuXW_OJ/s1600/kay_ake.PNGUnaweza kuona kama bado drama zinaendelea lakin ni kama movie imefika mwisho, kwani wale wakali wawili waliotengeneza headline hapa mjini kwa social media wamepatana, Kajala Masanja na Wema sepetu.  Hii imetokea jana kwenye msiba wa director na aliyekuwa mzazi mwenzie Monalisa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhKdU-TWtYxNrRqww0REcESUE_bd2X_wOfn5AgotFa7p722kKBOKyX0U1nobbuDsoyZ-9mT_A4bNJP30B3SI8-O_tRIrzog1lbDSUk0AMZBozzj4-xUS2ZGwEGfnqVkpdK4kjmTW7-k-1HH/s640/wema+sepetuuu.JPG
Juzi kwenye msiba wa Rechal pale makaburini kulikuwa na makundi huku Kajala akiwa na sare tofauti na as well Wema alivaa sare ya peke yake lakini hii inaweza kuwa tofauti katika msiba wa Tyson kwani wawili hao walipatanishwa wakiwa msibani hapo na kuamua kuyamaliza kwani hakuna mfano mzuri katika maisha ya mwanadamu kama kifo, kwani kinamkumbisha kila mmoja wetu kuishi vema na kwamba kesho tutaondoka .
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjuY8Hb1F-QAnz-t2OuWlEZ2iu4HaeHwdn33xMhxyJifgG5Zz_P3UpShg9Lyh7suBleO2Z5DNcTyWtL_6lbNVwoxMOfXF5G7i4o78nrpmyMnBURC3RzpdMBOMWIqxW0g_FqtzEiw1frDmVc/s400/k.jpg
Wawili hao walitofautiana kwa sababu wanazojua wao wawili na  Instagram kuchochea ugomvi na kuwasemea vitu ambavyo hata wawili hao hawajaongea mwisho wa siku Wema na Kajala ikawa wanapishana kama train za Umeme au bus ya mwendo kasi but final wamepatana na kupeana mikono .lets hope wamesafisha mioyo yao na waishi kama zamani.

Sunday, June 1, 2014

Mwanamuziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani.
Diamond na madancer wake wakijaribu kukata kiu ya mashabiki wake wa pwani ya mashariki.
 Wapenzi wa Diamond wakipagawa na show ya Diamond iliyofanyika All Star Club Elezabeth NJ.
Shabiki akidata na show ya prezidaa wa Wasafi.
Shabiki mwingine akidatishwa na moja ya wimbo wa Diamond na kushindwa kujizuia kupanda jukwaani.
Mashabiki wa Diamond wakipagawa huku wengine wakipata taswira za hapa na pale.
 All Star Club Elizabeth New Jersey; Diamond akikamua licha ya show kuchelewa kuanza na wapenzi wa Diamond kushikwa na jazba wakitaka aendelee lakini ikashindika kutokana na muda wa kufunga club kufika.
 AJ nae akifanya yake baada ya kupewa nafasi ya ufunguzi katika show hiyo iliyofanyika New Jersey.
AJ Ubao na Dirty Hary wakishambulia jukwaa kwenye show ya kufungua pazia iliyofanyika New Jersey na baadaye Prezidaa wa Wasafi, Diamond Platnumz kuwapagawisha mashabiki wake wa ukanda wa pwani ya mashariki.
Ni Rais wa Wasafi akishambulia jukwaa akiwa na madancer wake kwenye show ya kukata na shoka iliyofanyika New Jersey na kuvuta mashabiki kutoka kila kona ya pwani ya mashariki ambayo ni DC, PA, NJ, NY, CT, MA na kwingineko.
(Picha zote na Vijimambo Blog)

Saturday, May 31, 2014

monalisa
Hii ndio Post ya kwanza ya Monalisa baada ya kupata taarifa kuwa mume wake wa zamani na baba wa mtoto wake amefariki.
monalisa na G tyson
Aliweka picha hiyo ya mareheu Tyson akiwa na mwanae na kisha kuandika maneno haya hapa chini::monalisa tweet
>> Via Swahilitz
 Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga nae picha.
  Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.
 Mashabiki wa Diamond wakipata ukodak moment na Diamond Plutnumz mara tu alipotua ndani ya mgahawa wa Safari siku ya Ijumaa May 30, 2014.
 Shabiki akiwa bado na kiu ya kupata ukodak na Rais wa Wasfai, Diamond kulia ni DMK poromota wa msanii huyo ambaye ndie anayekimbiza sasa hivi na akiwa nominee wa MTV africa na BET award itakayofanyika nchini Marekani June 29, 2014.
 Diamond akiongea jambo na Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka
 Mashabiki wa Diamond Plutnumza wakipata picha ya pamoja na Rais wa Wasafi.
 Mashabiki kutoka jirani zetu Kenya nao wakipata picha na Prezidaa Diamond Plutnumz walipofika kwenye mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC.
 Madancer wa Diamond wakiwa na Prezdaa ndani ya mgahawa wa Safari Washington, DC.
 Mtasha wa Kimarekani aliyewahi tembelea Tanzania nae hakuwa nyuma kupata picha na Diamond ndani ya mgahawa wa Safari ulipo Washington, DC
 Shabiki akiwa na furaha kupata ukodak na Rais wa Wasafi Diamond Plutnumz
 Diamond akiwa na shabiki wake katika picha ya pamoja.
Shabiki wa Diamond hakuwa nyuma katika kupata ukodak wa kumbukumbu.
 Shabiki wa Diamond akipata picha ya pamoja na Prezedaa wa Wasafi.
 Shabiki kutoka kwa jirani zetu nae akipata picha huku akijaribu kupata picha kwenye simu yake.
 Dj Romy Jons akipata picha ya pamoja na mashabiki kwenye mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC.
 Shabiki katika picha ya pamoja na Diamond.
 Shabiki na Diamond katika picha ya pamoja.
 Shabiki akipozi kwa picha na Diamond.
Shabiki akipozi kwa ukodak moment na Diamond.

 
 Shabiki wa Diamond akipata picha na rais huyo wa Wasafi.
 Shabiki akipata picha na Dj wa Diamond, Dj Romy Jons
Shabiki akipata picha na Wasafi.
Mashabiki katika picha ya pamoja na poromota wa Diamond, DMK.
Picha na Vijimambo Blog