Mwanamuziki JLO akifanya vitu vyake stejini. Kulia akiwa na dansa wake.
...Msanii
huyo mbali na miaka 44 aliyonayo lakini aligonga shoo ya nguvu akiwa na
kivazi chake kilichoacha baadhi ya maungo yake nje.
STAA wa muziki nchini Marekani, Jennifer Lynn Lopez (44)
amedhihirisha kuwa bado wamo baada ya kutinga jukwaani akiwa na 'kivazi
tata' na kuangusha bonge la shoo. JLO alitupia kivazi hicho pamoja na
suspenda wakati wa shoo aliyoifanya nyumbani kwao huko Bronx, New York
nchini Marekani.
JLO akionyesha mbwembwe na dansa wake.
Shoo ikiwa imechanganya ndani ya Bronx, New York nchini Marekani.
0 comments:
Post a Comment