PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin
Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya umeneja.
Baada ya picha hiyo kutupiwa kwenye mtandao wa Instragram na watu kutilia mashaka busu hilo, paparazi wetu alimvutia waya Wema, alipopatikana alijibu:
“Martin ni meneja, baby wangu kila mmoja anamjua, ni Diamond.”
VIA GPL

RSS Feed
Twitter
1:07 AM
Unknown

Posted in
0 comments:
Post a Comment