MSANII
wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni alionesha jeuri ya
magari baada ya kutinga nayo mawili kwa nyakati tofauti kwenye
kumbukumbu ya miaka miwili ya marehemu Steven Kanumba.
Awali kwenye ibada ya kumuombea marehemu, Kajala alifika kwenye kanisa moja lililopo
Kimara Temboni akiwa ‘anadraivu’ gari aina ya Toyota Harrier nyeusi na kuzua gumzo eneo hilo
Kimara Temboni akiwa ‘anadraivu’ gari aina ya Toyota Harrier nyeusi na kuzua gumzo eneo hilo
Baadaye
msafara ulipohamia Makaburi ya Kinondoni alipozikwa Kanumba, alitinga
na gari lingine aina ya Toyota Brevis lile ambalo ilidaiwa kuwa
alinunuliwa na yule kigogo wa shosti wake, Wema Sepetu anayejulikana kwa
jina la CK. Jeuri
hiyo iliwafanya wengi kubaki na vingi viulizo na Ijumaa lilipojaribu
kumdadisi hakutoa ushirikiano na hata alipopigiwa simu baadaye
hakupatikana hewani
0 comments:
Post a Comment