Stori: Shakoor JongoMWANDAFADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ amesema anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini yeye hajawahi kushiriki.
Linah alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na paparazi wetu hivi karibuni akasema:
“Usagaji
upo tena kwa mastaa wengi lakini kwa upande wangu mimi sijawahi kufanya
hicho kitu na wala sitegemei kujihusisha nayo.” Zaidi.......
RSS Feed
Twitter
1:19 AM
Unknown

Posted in
0 comments:
Post a Comment