Friday, April 18, 2014

Stori: Mwandishi Wetu
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau.
Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda aki[pozi.
Martin alifanya ishu hiyo wakati akimtakia Lulu Happy Birthday Aprili 16 ambapo mwanadada huyo alikuwa akitimiza umri wa miaka 19. Paparazi wetu alipomhoji kuhusiana na kumuita nyau, Martin alifunguka:
Elizabeth Michael 'Lulu'.
“Yule kwangu ni mdogo, nimemlea tangu akiwa anasoma sekondari pale Perfect Vision Ubungo, nimetumia neno nyau kama utani lakini nikimaanisha mdogo kwangu.”

0 comments:

Post a Comment