D'banj alisema kuwa hajatemwa wala kuachana na Good music, bado yupo chini yao na yeye na kaye (Kanye) bado wanafanya kazi pamoja na hivi karibuni ataachia video yake ambayo amemshirikisha Kanye West.
Fununu hizi zilisambaa zaidi baada ya siku kama takribani nne nyuma, D'banj kufuta moja ya info zake kwenye ukurasa wake wa Twiiter uliokuwa unasomeka 'GOOD MUSIC LABEL'.
0 comments:
Post a Comment